Wednesday, October 5, 2016

Cheka

​JE WAJUA!.....​

Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia?












Nakuona  unavojaribu kubana jicho .....
UTAKUJA KUNYA BUREEEE, hutaniwiii?!
😂😂😂?

No comments:

Post a Comment