Thursday, October 6, 2016

Cheka

😂Enzi school kuna wale walikua wanaandika topic na kalamu nyekundu, sub topic na kalamu ya black kisha notes na kalamu ya blue.😂 Sijui mko wapi siku hizi, mlipata kazi sadolin au nyati?
#HiiNiTiibiiTii

No comments:

Post a Comment