Saturday, October 8, 2016

Inbox

*Ombi Ombi Ombi....*

```Maandiko yanasema_
Tafuteni nanyi mtapata,
Ombeni nanyi mtapewa na
Bisheni nanyi mtafunguliwa:

Ndugu zangu kama kuna mdada ambae hajaolewa na anahitaji Mume tafadhali usikae kulia tuuu ukisubiri ule usemi wa ​mume bora anatoka kwa Bwana​ Huyu bwana ana njia nyingi za kumleta Mume sasa hebu njoo inbox😀👆```

Natangulia
🏃🏾🏃🏾🏃🏾🏃🏾

No comments:

Post a Comment