Kazi

TANGAZO
Kama una ndugu au rafiki Nurse mwenye Diploma au Degree na yuko tayari kufanya kazi  Pwani  na shirika la wamarekani,pia Mfamasia mwenye Certificate au Diploma naomba tuwasiliane kwa namba 0712268900,0765862190 au 0714150062

Marie Stopes International inahitaji madaktari na manesi wa kutosha kwa ajili Outreach teams ambazo zipo TZ nzima zikitoa huduma kwa wahitaji wa huduma za afya hasa za uzazi wa mpango na elimu ya afya ya uzazi. Posho za kila siku zikiambatana na mishahara mizuri. Naomba taarifu ndugu, jamaa na marafiki watume CVs kwa jmkunda@mst.or.tz.

[Sent as received, sina taarifa yoyote ya ziada ndugu zangu]

Share on Google Plus

About Gasper

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment