Friday, October 7, 2016

MASKINI SAID

Ripoti ya Daktari yaeleza kuwa Kijana Said aliyetobolewa macho na mtu anayejiita Scorpion hawezi kuona tena. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amendika; "Watanzania wengi tulitamani Said uone tena ila tumeshindwa, tunamwachia Mungu."

Nini maoni yako mdau?

No comments:

Post a Comment