Tuesday, October 11, 2016

YANGA KUSAKA POINTI TATU

MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Yanga SC, kesho watakuwa uwanja wa uhuru kuwakaribisha Mtibwa Sugar, Vicent Bossou na Malimi Busungu wataukosa mchezo huo!Bossou amechelewa kurejea kutokana na uwakilishi wake katika timu ya Taifa, Busungu hayupo kambini anakabiliwa na majukumu ya kifamilia.

Kesho Yanga SC watalazimika kushinda mchezo huo ili kushusha presha ya mashabiki na kuweka hai matumaini ya kutetea ubingwa.

- KILA LA HERI YANGA AFRIKA. .

No comments:

Post a Comment