Sunday, October 9, 2016

Cheka kidogo

Cheka kidogo
Mm na mpenz wangu Tupo kwenye love kwa
miaka 4 sasa na nimeamua kumuoa,kitu
ambacho kinanisumbua ni huyu mdogo wake wa
kike, shemeji yangu huyu hupenda kuvaa vinguo
vifupi na vinavyobana,hupenda kuinama kila
anapokuwa karibu nami na kunifanya mm nione
mapaja yake mazuri na mistari ya........
Siku moja niliitwa na huyu shemeji yangu kwenda
kuangalia kadi za mualiko wa harusi,nilipofika
nilistuka kumkuta peke yake akiwa kavaa kanga
moja tu, hizi kanga za india, kanga ilikuwa
nyepesi kiasi cha kufanya macho yangu yaweze
ona rangi ya kilichovaliwA ndani, kabla sijasema
lolote shemeji yangu aliamua kuvunja ukimya
kwa kufunguka juu ya hisia zake kwangu,
aliomba nimpe raha angalau Mara moja kabla
sijafunga ndoa na dada yake. Moyo ulianza
kwenda mbio huku mwili ukitetemeka,
nikashindwa kujibu kitu,
Aliniambia kama nataka mautamu basi nimfate
chumbani kwake ambapo alikuwa akilala
ghorofani, akanza panda ngazi kuelekea kwake
kwa mwendo wa madaha na kuniacho nimekodoa
mimacho kama mjusi aliyebanwa na mlango,
nikitizama kanga iliyokuwa inasogea kutokana na
hatua zake,
Mwili ulinisimka,nikahisi baridi hivi
oooh,nilisimama kwa mda kisha nikageuka na
kuutazama mlango wa kitokea nje. Nikosogea
mlangoni na kutoka nje kwa haraka mno
nikielekea nilikopaki gari yangu, ghafla nikaona
kundi la familia ya wakwe zangu wakinipigia
makofi,
huku machozi yakimtoka,baba mkwe alinifuata na
kunikumbatia. Akasema "familia imefurahi kwa
kufahulu hili jaribio, karibu sana ktk familia yetu''
Nilivuta pumzi kwa nguvu kisha nikatabasamu
kwa furaha ooooh asante Mungu..........:. maana
nilikuwa naenda kwenye gari kuchukua condom
zangu😔😔
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👆👆👆👆
Wallah nmecheka vibaya

No comments:

Post a Comment