Sunday, October 9, 2016

KIKAO CHA DHARULA

KLABU ya Yanga inapenda kuwatangazia wanachama wote wa Young Africans Sports Club (YANGA)  kuwa patakuwa na mkutano mkuu wa dharula siku ya jumapili ya tar 23/10/2016.
Wanachama wote mnaombwa kufika bila kukosa kwani ni kwa faida na maslahi mapana ya Timu yetu.

Agenda za mkutano pamoja na mahali mkutano mkuu utakapofanyika mtajulishwa mapema kabla ya siku husika kufika.

'YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO'

No comments:

Post a Comment