MKURANGA, PWANI: Jeshi la Polisi limewaua watu 4 wanaosadikiwa kuwa majambazi katika majibizano ya risasi usiku wa kuamkia leo.
- Aidha Jeshi la Polisi lilikamata silaha aina ya Shortgun Pump Action ikiwa na risasi Tano ndani ya Magazini na nyingine 6 za Shortigun zikiwa ndani ya mfuko wa rambo pamoja na risasi nane za Pistol.
No comments:
Post a Comment