Sunday, October 23, 2016

UCHAGUZI DAR

DAR: Uchaguzi wa kumpata Meya wa Halmashauri ya Ubungo umeahirishwa baada ya Madiwani wa UKAWA kususa wakidai CCM imeongeza wajumbe.

- Aidha Madiwani hao wamedai kuwa wajumbe wawili wa UKAWA wamehamishwa ili kurahisisha ushindi kwa CCM.

No comments:

Post a Comment