- Hajalipia kadi ya uanachama zaidi ya mwaka sasa.
- Mara zote alikuwa akilipiwa na Manji.
- Hana kazi yoyote, Yanga ndio imekuwa ikimlisha na kumgharamia.
Ila anajinasibu kuwa
" Yanga haiwezi kukodishwa kama masufuria ya shuhulini, Manji ametukuta na atatuacha. . Hata akisusa mimi mwenyewe nna hela za kuweza kuiendesha klabu "
NENO MOJA KWA MZEE AKILIMALI.
No comments:
Post a Comment