Wednesday, October 19, 2016

Msimu wa baridi ulaya

Msimu wa baridi  (winter) unaingia Ulaya. Mbwana Samatta ametweet picha hii akisema 'baridi kali'. Samatta ametajwa katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa CAF Afrika 2016

No comments:

Post a Comment