Msimu wa baridi (winter) unaingia Ulaya. Mbwana Samatta ametweet picha hii akisema 'baridi kali'. Samatta ametajwa katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa CAF Afrika 2016
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment