BUNGENI: Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema Mipango ya Uchumi ya Serikali ni mibovu na hali mtaani ni mbaya, hakuna pesa.
- Amemtaka Waziri wa Fedha kutotoa taarifa zinazopotosha umma. Amesema taarifa za ukuaji wa uchumi za serikali haziendani na hali halisi
0 comments:
Post a Comment